Wanawake wa JF mbona huwa mnafunga PM zenu?

Wanawake wa JF mbona huwa mnafunga PM zenu?

Hahaha
Mecheka saana... Hivi ulivua vile viatu au ulienda na vile vile[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapana nilivua si unajua heels siziwezi huwa navaa mda mfupi [emoji23][emoji23][emoji23] badae sandals zinanihusu pale niko tungiiiii na busara zangu halafu hapa tupo jf mxxieew
 
Back
Top Bottom