Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,445
- 205,933
Aah mimi nipo salama jamani kwahiyo mazingira yanaporuhusu madhara yanatokea...Hahaha
Ndiwooo
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aah mimi nipo salama jamani kwahiyo mazingira yanaporuhusu madhara yanatokea...Hahaha
Ndiwooo
Kinakuchekesha nini[emoji23] [emoji16] [emoji23] [emoji16] [emoji23] [emoji16] [emoji23]
[emoji16] [emoji23] [emoji16] [emoji23] [emoji123]Muone kwanza
Ndio shemUhamie pm au
Usinijaze hapa tupo jf hakuna cha dada wa busara wala mzee wa busara la moyoni ninaloDada wa busara bwana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nafwaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wapiii kiriaaa huhuhuhuuu
[emoji16] [emoji23] [emoji16] [emoji23] [emoji16]Mfyuuuuuu
Jamani eti analilia kwenda pm halafu mwisho wake wavushane nje ya sever za jf[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We ulitaka ninikapigwa mbili mtungi
habari anayooooHahahaa safi sana, mtaarifu pia Shunie yeye ni Lunyasi wa kutupwa
hyo fyuuuuuuuKinakuchekesha nini
Khaaaayakhe huku sato kwenda mbele tena wale wenye macho mekundu,
apigwe 3 kwa kalaiWe ulitaka nini
Hapana nilivua si unajua heels siziwezi huwa navaa mda mfupi [emoji23][emoji23][emoji23] badae sandals zinanihusu pale niko tungiiiii na busara zangu halafu hapa tupo jf mxxieewHahaha
Mecheka saana... Hivi ulivua vile viatu au ulienda na vile vile[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yuko hapa kaka akee ataitika[emoji23] [emoji16] [emoji23] msalimie Davet
Khaaaaaaaaa waliolala tenaAcha tu usije kuamsha waliolala [emoji23][emoji23]
watam sanaaa[emoji23]Khaaaa
Hao kula mwenyewe aki, macho ka ya binadamu alolia siliiii
Shangwe tupuhabari anayoooo
utamsikia akisema Woyooooooooooooo
Mmmh sitaki mm...[emoji125][emoji125][emoji125]Ndiwoooo kati kati ili kila mtu achukue upande wake
Nimecheka aiseeee halafu sijui nilichochekeaSema shemeji ukiachwa usinitaje