Wanawake wa JF mbona huwa mnafunga PM zenu?

Wanawake wa JF mbona huwa mnafunga PM zenu?

Anakuja na id yake zoefu anakutoooongozaaaa,unamkataa na kumfanya awe rafiki, akimaliza anakuja na id korofi anakukera mnagombana akimaliza anafungua uzi wa kuponda wanawake.Ukisoma kwa makini uzi wake unakuta ni wewe ndo unaesemwa 100%
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hembu taja mfano wa id korofi
 
Shangaa nilikua ben10 sasa hivi kaka, kweli uchawi upo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nani muanzilishi wa hizi mambo
 
Mambo gani?
 
Back
Top Bottom