Wanawake wa JF mbona huwa mnafunga PM zenu?

Acha tu yaani ni za hovyo tu nimesukwa vibaya acha tu natamani kufumua nyele niko kama ana makinda
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mungu eeeehhhh.... Naomba picha mimi jamani bebe
 
Sitakiiii nikutumie picha ili ugundue nn niko na stress zangu natamani kufumua kichwa kinaniuma sana
 
Back
Top Bottom