[emoji23][emoji23][emoji23] bora ulivyofungaMimi nilifunga ya kwangu kulingana na usumbufu wa (vivulana), yaani mtu anaingia halafu anaongea ujinga. Imagine mtu anakwambia naomba picha yako ukiwa mtupu!!!πππ
Itakua labda. Ningemtajia dau angeanza kwani ina tv ndani. [emoji23][emoji23]Aliambiwa una uza
Hivi hawa binadamu wenzetu wakoje
[emoji23][emoji23][emoji23] mtu alitaka mkeshaMimi aliniambia mtu unachaji sh ngapi usiku kucha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alitaka kukesha. Utasema ana hela sasa hata ningemtajia. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtu alitaka mkesha
Hahah!! AiseeAiseeee
Mm nakinyaa htr siwez thubutuIle biashara kama huna kinyaa unafanya
Kujiuza kipaji. Ukiwa na gubu na kinyaa huweziMm nakinyaa htr siwez thubutu
Hahah!! Ungetoa sababu na wewe au yako hujafunga?Najirusha tuu mm...
Hiyo bihashara siwez fanyaKujiuza kipaji. Ukiwa na gubu na kinyaa huwezi
Sawa shem kumbe una sababu za msingiAaaah shem sikutaka umbea. Maana mnasema akitoka hapo mtu anaenda kusema. Ndugu yangu akaniambia kuwa makini.
Eeh shem.Sawa shem kumbe una sababu za msingi
[emoji23][emoji23][emoji23] unanifurahisha sanaAlitaka kukesha. Utasema ana hela sasa hata ningemtajia. [emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wasanii sana,.Hahah!! Ungetoa sababu na wewe au yako hujafunga?
Hahah!! Sound za hapa na pale sio?Watu wasanii sana,.
Aahgg,.sound za mwaka 47...[emoji23]Hahah!! Sound za hapa na pale sio?
Lakini mkuu, Kwani wote wanaongea ujinga tu? Au samaki mmoja akioza, Wote wameoza?Mimi nilifunga ya kwangu kulingana na usumbufu wa (vivulana), yaani mtu anaingia halafu anaongea ujinga. Imagine mtu anakwambia naomba picha yako ukiwa mtupu!!!πππ
Wakati mwingine mkuu, Uchukulie poa tu, Kama dume asipomsumbua jike, Wewe unafikiri atamsumbua nani?Hkuna dharau nisizopenda km hizo
Hlf ukimkatalia anakutusi
Sjui wakoje mm wananikera
Sijajua kama na wengine wanaongea ujinga maana nilivyoona PM kadhaa ambazo hazina maadili nikachukua tahadhari ya kufunga milango.Lakini mkuu, Kwani wote wanaongea ujinga tu? Au samaki mmoja akioza, Wote wameoza?
Hahah!!Aahgg,.sound za mwaka 47...[emoji23]