Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,445
- 205,933
[emoji23][emoji23][emoji23] bora ulivyofungaMimi nilifunga ya kwangu kulingana na usumbufu wa (vivulana), yaani mtu anaingia halafu anaongea ujinga. Imagine mtu anakwambia naomba picha yako ukiwa mtupu!!!🙁🙁🙁