Unataka kuninyima nini?Shikamoo Kaka
Jamani my babeSitakiiii nikutumie picha ili ugundue nn niko na stress zangu natamani kufumua kichwa kinaniuma sana
HahahaSitakiiiiiiiiii yani nimefanana na Ana makinda kasoro rangi tu jamani
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Jamani upoooo nani kakuteka hivi
KumbeeeeeHe he
Hahaha wanadanganye mamaaSitakiiiiiiiiii yani nimefanana na Ana makinda kasoro rangi tu jamani
mmoja dada shunie[emoji16]Napinga mkuu...kuna wadada wawili humu ukiwaona hata kuchat nao hapa utakua unaogopa,ni vyomboo balaaa
Nalifahamu hiloHahaha kwenye kamati huwezi kosekana[emoji23]
Kaka jamani kwani unataka nini weweUnataka kuninyima nini?
Yaan hizo bambucha ndio ambazo sitaki kuziona kichwani mwangu nilichofanywa Mungu anajuaAnne mbona mzuri tu hasa zile bambucha zake
Sitakiii yaani naomba tu uniacheJamani my babe
Nitumie tuu
Kama vile anavyosukaga jamani nywele nilizonunua kumbe ukisuka zinakaa kama vileHahaha
Ndo umesukajeee
Sitaki kitu mieKaka jamani kwani unataka nini wewe
Karibu kaka angu jamani tunakumiss tu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
U-busy wa kazi unanisumbua dada wa mie, nimekuwa nikionekana humu kwa nadra. Mzima wewe!?
HahahaYaan hizo bambucha ndio ambazo sitaki kuziona kichwani mwangu nilichofanywa Mungu anajua
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] kwa leo nilichofanywa Ana makinda ni pacha wangu yaanHahaha wanadanganye mamaa
HahahaSitakiii yaani naomba tu uniache