[emoji120] Asante dada'angu, tuko pamoja.Karibu kaka angu jamani tunakumiss tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakumbuka nilikuwepo ile siku
Ni salama kabisa shemela anguShem vp?
Njoo nyumbani nikwambie[emoji23] [emoji23] [emoji23] hembu taja mfano wa id korofi
Weka pichaAcha tu yaani ni za hovyo tu nimesukwa vibaya acha tu natamani kufumua nyele niko kama ana makinda
Ni ushamba huo lakiniShida yao ni kukuona unakosa furaha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shukran kiongozi...ila nilifanikisha, ashukuriwe demiss na shunie[emoji23] [emoji23]
Nitajie hao wadadaNapinga mkuu...kuna wadada wawili humu ukiwaona hata kuchat nao hapa utakua unaogopa,ni vyomboo balaaa
[emoji23] [emoji23] ukitaja huyo mama hua navuta pucha anavyoongeagaSitakiiiiiiiiii yani nimefanana na Ana makinda kasoro rangi tu jamani
WoyooooHazijajaa sana sema sijazipenda tu yaan kiufupi hazijanipendeza hela ya kwenda saloon bora ningekaa makuti pub niongeze damu
Nimetoka kuambiwa mi ni mwanaume sahizWaache na mawazo yao tu
Hata mimi nikija PM hunijibu?[emoji20][emoji20]Mi sikutaka tu mazoea maana napenda kuchat sasa mtu akija ntamjibu halafu akaleta umbea mwishoni nisutwr bure
Najua umependeza sana tuuMfyuuuuuuu
Nimekusaidia kushangaaHeee kaka
Woiiiiii
Hasa ulitaka akuambiaje?Mimi aliniambia mtu unachaji sh ngapi usiku kucha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo mi nimemuignore maana nilishanusurika ban kwa ajili yakeAisee kuna uzi umefunguliwa na kisandu Jr huko embu nenda kauone
Mimi imenibidi nisiufungue.
HahahaNa wengine wakishindwa kufungua uzi wa kukukandia kuna mawili
1.Atakuchunia,mtapotezeana kama hamkuwahi kuchati,akikuona umecomment siledi aliyocomment yeye ataipita hata salamu hakupi[emoji23] tunaita chuki za mwendo kasi hizi
2.Kila siledi atakayokuona ni kukutukana utafikiri ushawahi kushare nae bwana,au ulishampeperushia ndege wake
Yupoooo ebu mwangalie vizuriMbona nasikia harufu ya Tumosa alafu simuoni?
Nilidhani kuna mwingineMh si wewe au unajisahaulisha
Hahah nafurahi kukuona..... huo ukaka kauanzisha leo hapa na mimi ndio nauona leo [emoji23]Nko hapa
Tangia lini umekuwa kaka Shunie