Wanawake wa JF mbona huwa mnafunga PM zenu?

Wanawake wa JF mbona huwa mnafunga PM zenu?

Na wengine wakishindwa kufungua uzi wa kukukandia kuna mawili
1.Atakuchunia,mtapotezeana kama hamkuwahi kuchati,akikuona umecomment siledi aliyocomment yeye ataipita hata salamu hakupi[emoji23] tunaita chuki za mwendo kasi hizi

2.Kila siledi atakayokuona ni kukutukana utafikiri ushawahi kushare nae bwana,au ulishampeperushia ndege wake
Hahaha
Mie nina bahati nilikuwa napata wahega tuu
 
Back
Top Bottom