Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Kweli mkuu ukijumlisha na haya mavazi mapya ni full kupoteanaYaani acha tu mkuu,ni hizi changamoto za maisha tu ndio zinafanya watu wanapoteana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli mkuu ukijumlisha na haya mavazi mapya ni full kupoteanaYaani acha tu mkuu,ni hizi changamoto za maisha tu ndio zinafanya watu wanapoteana.
UshafutwaAcha tu kuna mtu alinifungulia thread chit chat huko
Tena na haya mavazi mapya mnaweza kupishana barabarani bila kujuana.Kweli mkuu ukijumlisha na haya mavazi mapya ni full kupoteana
Umefutwa maa na ban juuUshafutwa
Safiii kutaja taja majina ya watu hovyoUmefutwa maa na ban juu
Manuu mzima bhana...hapo utanisoma sasaTena na haya mavazi mapya mnaweza kupishana barabarani bila kujuana.
Mama la mama uko poa!Safiii kutaja taja majina ya watu hovyo
Sawa dada wa mie, ntajitahidi.Yasibane sana aki
Halafu lijitu hata hamjuani hata kama kiki sio kihivyo jamaniSafiii kutaja taja majina ya watu hovyo
Uje kaka, tuwe pamoja.Kesho nitakuja,kule ndio home
Shunie mzima dadake!Halafu lijitu hata hamjuani hata kama kiki sio kihivyo jamani
Hapana kuna pelege na uono[emoji23] [emoji23] Sakayo lazima anawajua tu.Jamani labda hilo jina au ndio perege
Pole jamani, kwani nawe walikuhofia ni wa nchi jirani!?Hahaha
Umesema uhamiaji nikakumbuka jana nilikamatwa na uhamiaji aki
Hahaha,nishakusoma Mkuu mwandiko wako huu nimekukariri.Manuu mzima bhana...hapo utanisoma sasa
Niko poaaaMama la mama uko poa!
Salama kaka akee habari ya weweShunie mzima dadake!
Kuna watu huwa wanavuta bangiHalafu lijitu hata hamjuani hata kama kiki sio kihivyo jamani
Hahahaaaaa..... Ama kweli umechelewa.Hahaha,leo nimechelewa ndio kwanza mboga ipo jikoni.
Kumbeee basi naweza kuwa nawala nisijue kama ndio haoHapana kuna pelege na uono[emoji23] [emoji23] Sakayo lazima anawajua tu.