Wanawake wa JF mbona huwa mnafunga PM zenu?

Huu ndio ukweli mchungu kuna siku nilimwambia ndio mana watu wanatoka huku sisi wengine ni ubishi wetu ndio mana tunakomaa
Kafukuza wengi kwa kejeli, kule walikuja hadi akina Mshana jr lkn uzalendo uliwashinda, jamaa mbinafsi sana
 
Kafukuza wengi kwa kejeli, kule walikuja hadi akina Mshana jr lkn uzalendo uliwashinda, jamaa mbinafsi sana
Hivi yupoje yule mtu anajifanya yeye ndio mwanzilishi wa kapuku alikuwa anakera sana Ila nilikuwa nampa yake nikiongea anaomba msamaha shunie basi yaishe mwanaume unakuwaje vile unafki tu
 
Ni kweli. Asee.... Braza umenikumbusha kaka sumbai.
 
Huu ndio ukweli mchungu kuna siku nilimwambia ndio mana watu wanatoka huku sisi wengine ni ubishi wetu ndio mana tunakomaa
Aheri mliomwambia ukweli, mimi siwezagi kumjibu mtu asiyejielewa. Naonaga ka napoteza mda.
 
Ewaaaaa hata kwetu alikuwa anatuletea hii natamani Sakayo angekuwepo tukitaniana anaanza mambo zake tukamwambia sikiliza kama huna mtu wa kutaniana nae pambana na hali yako maisha lazima yaendane na matani
Mjinga sana, alinisababisha nimfuatilie nijue anatatizo gani.
Nilipomfahamu na tatizo lake nilijilaumu kumhukumu.
 
Ewaaaaa hata kwetu alikuwa anatuletea hii natamani Sakayo angekuwepo tukitaniana anaanza mambo zake tukamwambia sikiliza kama huna mtu wa kutaniana nae pambana na hali yako maisha lazima yaendane na matani
Eti watu mle tulikuwa na wapenzi wetu, alafu kwa real life tuna familia kabisa. Nakumbuka mke wangu aliwahi kuniambia, "asee, wewe na jf ni sawa na mama na mwana, siwawezi".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…