EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,099
- 25,347
Atakuwa mhaya niniii, mbona sielewi hapo!Hata mm nilisikia tatizo lake ni kumsamehe tu si unajuwa wale wenzetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa mhaya niniii, mbona sielewi hapo!Hata mm nilisikia tatizo lake ni kumsamehe tu si unajuwa wale wenzetu
Kweli.Bila mapenzi hata jf yenyewe haina maana ujue...palipo mapenzi huwakosi watu
Hahahahahaaaaaa..... Na ulimkomesha.Kaka mm nilikuwa nampa ukweli na ninamwambia kapuku sitoki unune upasuke
Sidhani kama ana uhaya ana uswahili sanaAtakuwa mhaya niniii, mbona sielewi hapo!
Kumbe ni majuzi hapa, na nje ya jf!?Nimeanza kumjua na I'd hii ya shamma
Hahhaha ananuna badae anajichekesha alikuwa ananiita shinieHahahahahaaaaaa..... Na ulimkomesha.
Nimeshamjua jamani khaaa kumbe ni huyoKumbe ni majuzi hapa, na nje ya jf!?
Tatizo gani braza?Kweli dadangu, ukiwa na kasoro huwa roho ya kujishuku na kujiona umepungukiwa inawaandama sana
Popote duniani yapo.Watu hawaelewi kabisa maisha ni mapenzi ndio mana mapenzi yana run dunia kila siku
Nakwambia ni hatari.Hahhaha mm kapuku ndio ilinifanya jf nianze kubebishwa na mapenzi ya jf [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo yeye.Khaaaa makubwa haya jamani au wewe ni mkaka wa ar
Hahahahaaaaaa..... Mkuu upo!?Nimesoma comments hadi hapa... tehteehhh
True.Hilo liko wazi, na wengine tumeumbiwa roho ya kusamehe
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Too much gubu utakoma ukikosea kila siku wimbo ni huo huo
Mkuu ni mapungufu ya kibinadamu naomba nisimwanike nikuwa namkosea MuumbaAtakuwa mhaya niniii, mbona sielewi hapo!
Kumbe unamjua!?Khaaaaa kwahiyo siku zote ni wewe
Tumsamehe bure.Alikuwa anakera aiseee
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahhaha ananuna badae anajichekesha alikuwa ananiita shinie
Penye ulipo kosea ni kumkaba jogoo kwenye mkia, na alipo kuponyoka akakuachia manyoya, na mbaya zaidi kumbe ulusahau kama jogoo huota manyoya....tehteehhh......[emoji12] [emoji12] [emoji12]Mzee mwenzangu naona pengo.
Nakumbuke wakati wa BOSSLADY tulivyokimbizaa
Ulionana nae R?Nimeshamjua jamani khaaa kumbe ni huyo