Wanawake wa JF mbona huwa mnafunga PM zenu?

Wanawake wa JF mbona huwa mnafunga PM zenu?

Huwa unasemaga upo Dom
Sijawahi kusema pale penye ninaishi aiseeeee.....
Zaidi napita sana hapo Dom, nakuwepo sana Dar, naonaekana sana Tabora, ingawa ninaishi Ushirombo... tehteehhh
 
Mkuu achana nao, mwanamke asikukoseshe usingizi, malengo yako ya msingi ndo yakukoseshe usingizi,
 
Back
Top Bottom