Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Kwani ile q waiona tena jmnKhaaaaa kwahiyo siku zote ni wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ile q waiona tena jmnKhaaaaa kwahiyo siku zote ni wewe
Hivi huyo sio mambembe kweliPenye ulipo kosea ni kumkaba jogoo kwenye mkia, na alipo kuponyoka akakuachia manyoya, na mbaya zaidi kumbe ulusahau kama jogoo huota manyoya....tehteehhh......[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Skuizi nachoka sana na shambani, hata nabakia kusoma pekee, hata mdoma nashindwa beba....[emoji12] [emoji12]Mdomo wako haujabaki wazi kweli
Basi, nambie kwa pm braza.Mkuu ni mapungufu ya kibinadamu naomba nisimwanike nikuwa namkosea Muumba
Nipo comrade, sema nimebanana kwa shambani...Hahahahaaaaaa..... Mkuu upo!?
Pole braza, za siku? Hujaivisha mazao bado?Skuizi nachoka sana na shambani, hata nabakia kusoma pekee, hata mdoma nashindwa beba....[emoji12] [emoji12]
Walima zabibu?Nipo comrade, sema nimebanana kwa shambani...
..... tehteehhh..[emoji13] [emoji13] [emoji13]Hivi huyo sio mambembe kweli
Kawaida, majukumu mara zote hubana na kuwafanya watu wajifiche kabisa.Nipo comrade, sema nimebanana kwa shambani...
Asante na nimepozeka.Pole braza, za siku? Hujaivisha mazao bado?
Pole, Mungu akujaalie kwenye mavuno pafane.Asante na nimepozeka.
Bado napambana na magugu kwa palizi haki....[emoji29] [emoji29]
Mungu akubariki kwa penye umeweza tambua umuhimu wa majukumu na wajibu wetu...[emoji2] [emoji2]Kawaida, majukumu mara zote hubana na kuwafanya watu wajifiche kabisa.
Ushirombo tunalima na kisha pandikizi ni maharage, karanga, mahindi, mpunga na njigu...Walima zabibu?
Amina. Kaka.Mungu akubariki kwa penye umeweza tambua umuhimu wa majukumu na wajibu wetu...[emoji2] [emoji2]
Huwa unasemaga upo DomUshirombo tunalima na kisha pandikizi ni maharage, karanga, mahindi, mpunga na njigu...
Sijawahi kusema pale penye ninaishi aiseeeee.....Huwa unasemaga upo Dom
Mithali 20 - 22Amina. Kaka.
Amen...[emoji120]Pole, Mungu akujaalie kwenye mavuno pafane.