Wanawake wa JF mbona huwa mnafunga PM zenu?

Mimi nilifunga ya kwangu kulingana na usumbufu wa (vivulana), yaani mtu anaingia halafu anaongea ujinga. Imagine mtu anakwambia naomba picha yako ukiwa mtupu!!!πŸ™πŸ™πŸ™
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] si ungempa ya mama Janet wa makufuli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…