Wanawake wa JF mbona huwa mnafunga PM zenu?

Wanawake wa JF mbona huwa mnafunga PM zenu?

Hkuna dharau nisizopenda km hizo
Hlf ukimkatalia anakutusi
Sjui wakoje mm wananikera
Hao ni wale wanaomaliza shule za boarding (boys tupu),wanakuja mtaani wakiwa na mihemuko ya kufa mtu[emoji4] [emoji4]
 
Back
Top Bottom