Wanawake wa JF mbona huwa mnafunga PM zenu?

Wanawake wa JF mbona huwa mnafunga PM zenu?

Nimeona kadhaa wakilalamika ati sisi wanaume tunapokwenda kwenye pm za tunaohisi ni wakina dada tunaishia kutoa salama tu kila mara kama siyo kila saa...

Hahahaha....

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom