EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,099
- 25,347
Mnasumbuliwa na madomo zege hao, waacheni tu wahangaike.Uwoga wao tu kaka mbona zipo wazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnasumbuliwa na madomo zege hao, waacheni tu wahangaike.Uwoga wao tu kaka mbona zipo wazi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahah nafurahi kukuona..... huo ukaka kauanzisha leo hapa na mimi ndio nauona leo [emoji23]
HahahaSasa usiombe ka under 25 kaje pm
Kalishakujaga kamoja from nowhere kananiambia "Kut.......na raha"
Nikabaki tu najiuliza huyu kapatwa na nini,au kanichukuliaje mimi
Mmh!Hahaha
Mie nina bahati nilikuwa napata wahega tuu
AiseeeeJamani kaka angu naomba hela
Brother wewe huwasumbui kule PMMnasumbuliwa na madomo zege hao, waacheni tu wahangaike.
Hivi kumbe na wewe ni ke?Mimi nilifunga ya kwangu kulingana na usumbufu wa (vivulana), yaani mtu anaingia halafu anaongea ujinga. Imagine mtu anakwambia naomba picha yako ukiwa mtupu!!!🙁🙁🙁
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Brother wewe huwasumbui kule PM
Vipi brotherKaka Youngblood.
Brother mimi niko vizuri sana, habari za siku nyingi.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kiukweli, sijawahi kaka. Mzima wewe!?
Za siku ni nzuri, nimekukumbuka sana kaka.Brother mimi niko vizuri sana, habari za siku nyingi.
SawaNjoo PM nikusaidie
Naona unavyomuita kulekule wanakozifunga!?Njoo PM nikusaidie