Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Akikujibu dada uniiteNani mpya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akikujibu dada uniiteNani mpya
Jamani babe brother nini shidaHuo ukaka nimeuona leo shem acha na mimi niuendeleze tu [emoji23]
Nimekumiss we mtuhahaaa...1night stand hiyooooo..manina kweli huyo mtoto
Wastaarabu wapo kibao,wanajielewa na kujiheshimu.Wale sasa under 25 ndio tabu.Na saa nyingine unakuta ni mbaba tu na uhenga wale lakini maongezi yake inabidi uzime data kwanza ujifikirieHahaha
Mbavu zangu mie jamanii....
Kiukweli sijawahi mpaka nafunga ni wahenga tuu tena ni wastaarabu mnooo
Nimewashangaa sana.Kwa hiyo
Jamani kwani kaka angu alikuwa anataka niniMnanyimana nini nyie?
NakaziaHakika hujakosea maana hata vitabu vya dini havipendi kukaa karibu na wenye mizaha ya hovyo hovyo ivyo
Heheh shida hakunaJamani babe brother nini shida
Doh[emoji23]Hivi kumbe na wewe ni ke?
Si kule jukwaa la Makapuku.Khaaa
Wapya ndio nani hao
Mbeya kuna matukio makubwa mawiliKinakuchekesha nini
Acha tu kuna mtu alinifungulia thread chit chat hukoAisee
UmefurahiiiHahhahaa
Fungua bhana tafadhari,,,, nataka sana kuchat na ww, sijui itakuwa wazi saa ngapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Naiacha wazi leo basi
Jamani kakaHahah!! Ata sijui atataka kuninyima nini tu labda tumuulize
Ongea nae mpaka mwisho,kazia.Ukipata unigaieNisubiri mpaka lini jamani
[emoji3][emoji3][emoji3]Kidogo tu
Lini?Acha tu kuna mtu alinifungulia thread chit chat huko
Angepigwa ban ningekunywa sodaNa ameipata kiki yake