Wanawake wa JF mbona huwa mnafunga PM zenu?

Wanawake wa JF mbona huwa mnafunga PM zenu?

Hahaha
Mbavu zangu mie jamanii....

Kiukweli sijawahi mpaka nafunga ni wahenga tuu tena ni wastaarabu mnooo
Wastaarabu wapo kibao,wanajielewa na kujiheshimu.Wale sasa under 25 ndio tabu.Na saa nyingine unakuta ni mbaba tu na uhenga wale lakini maongezi yake inabidi uzime data kwanza ujifikirie
 
Back
Top Bottom