Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Wakuu mwanikumbusha mbali[emoji116] [emoji115]Uje kaka, tuwe pamoja.
Tena na haya mavazi mapya mnaweza kupishana barabarani bila kujuana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu mwanikumbusha mbali[emoji116] [emoji115]Uje kaka, tuwe pamoja.
Tena na haya mavazi mapya mnaweza kupishana barabarani bila kujuana.
Njema aisee, miss you bhanaSalama kaka akee habari ya wewe
Ile ni zaidi ya bangi halafu anakuquote kwahiyo unabisha ni uwongoKuna watu huwa wanavuta bangi
Leo ugali utaliwa saa saba kama dakuHahahaaaaa..... Ama kweli umechelewa.
Miss u pia nafurahi kukuonaNjema aisee, miss you bhana
WoyoooooooLeo ugali utaliwa saa saba kama daku
Ulienda kukoment,mi sijaona nilikuja kureport nakuta ushafutwaIle ni zaidi ya bangi halafu anakuquote kwahiyo unabisha ni uwongo
Wamekaa wadogo wadogo kama kauzu,ila sasa hao wanatoka bahariniKumbeee basi naweza kuwa nawala nisijue kama ndio hao
Hivi dadako yu wapi?Khaaa wanakusumbua hawakujui wanakusumbuaje
Kitambo sanaWakuu mwanikumbusha mbali[emoji116] [emoji115]
Pole sana... nadhani wengine bado hawaelewi matumizi sahihi ya mtandao!Mimi aliniambia mtu unachaji sh ngapi usiku kucha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante mkuuPole sana... nadhani wengine bado hawaelewi matumizi sahihi ya mtandao!
Uono!???Kama kawaida ugali tembele bamia na uono.[emoji23] [emoji23]
Ni kweli.Yaani acha tu mkuu,ni hizi changamoto za maisha tu ndio zinafanya watu wanapoteana.
Karibu basiWoyooooooo
Nilienda kucoment post kama 5 sakayo akaja kunipigia kelele nitoke kabisa jf nikatoka nilimtafuta robot na max huku max hayupo online sakayo busy nae na kureport [emoji3][emoji3][emoji3] mzigua ananiambia Dina yuko busy na kureport uzi wako jamani mbarikiweUlienda kukoment,mi sijaona nilikuja kureport nakuta ushafutwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tena na haya mavazi mapya mnaweza kupishana barabarani bila kujuana.
Kama dagaa wa znzWamekaa wadogo wadogo kama kauzu,ila sasa hao wanatoka baharini
Yupo mbona alikuwepo ametoka mda si mrefu hapa kwenye huu uziHivi dadako yu wapi?