Wanawake wa JF mliobadili ID mnatupa ugumu kutongoza

Nimejaribu kusoma Uzi wako zaidi ya mara tatu nielewe ulichomaanisha ila sielewi...

Nikuulize!!!

Ulitaka kusema aje labda?
Na mtu kubadili ID unahusisha na nini?
 
Sura za mwakareli🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂!

Hongera sana kuopoa chombo mkuu!!
 
Sura za mwakareli🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂!

Hongera sana kuopoa chombo mkuu!!
Nilikiopoa bosi, Ila daaa, nikasema kweli hiyo ndo Ile pisi ya jf. Ikitoa comment humu mwanaume lazima genye zipande. Sasa hivi ukiona avator yake hatari!
 
Nimejaribu kusoma Uzi wako zaidi ya mara tatu nielewe ulichomaanisha ila sielewi...

Nikuulize!!!

Ulitaka kusema aje labda?
Na mtu kubadili ID unahusisha na nini?
ID yako ya zamani ni ipi tusije kukutongoza mara ya pili
 
Nilikiopoa bosi, Ila daaa, nikasema kweli hiyo ndo Ile pisi ya jf. Ikitoa comment humu mwanaume lazima genye zipande. Sasa hivi ukiona avator yake hatari!
Hongera sana mkuu!! Ukimpata mtu akatulia ni raha sana hata wewe unafeel pride!! Kashesheeee ukutane na vichomi pro 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!! Hahahaaa Nacheka kama mazuri uwiiiii🤣🤣🤣🤣! ( Sijamsema mtu jamani )
 
Ujumbe umfikie popote alipo huyo kichomi promax😊😊😊😊. Muache pm wazi sana mabaharia wengine wajaribu bahati zao
 
ID yako ya zamani ni ipi tusije kukutongoza mara ya pili
Sasa umeni'mention bila kujua ID yangu ya mwanzo Mkuu?

Huoni kama umenikosea?

FYI: Mimi nilibadili ID August 2021, from Makiseo to Makiwendo.. Na hakukuwa na sababu yoyote.. Ni vile nilitamani tu kubadili..
Na nadhani soon nitabadili tena kwa mara ya tatu[emoji2]
 
Ujumbe umfikie popote alipo huyo kichomi promax😊😊😊😊. Muache pm wazi sana mabaharia wengine wajaribu bahati zao
Kutokana na malalamiko na nyuzi mbarembareee Nimetolea mfano tu mkuu sijamsema mtu aiseeehhh!!! Futa hio kauli mkuu pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…