Wanawake wa JF mliobadili ID mnatupa ugumu kutongoza

Baada ya kuanza kuwa active kwa hii id yangu Kuna mwamba alikuwa ananikomalia wewe ni Fulani wakati Mimi ni Mimi, jamani 🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila shougaaaa nakupenda hujawahi kufail, unavojua kujifyatua akili, km hamna kilitokea.

Nakupendaaaaa. Aririiiiii
Hahahaaa... Ndoivo kipenziiiii😘😘😘wanijua sinaga trabuu kabisa miyeee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…