Wanawake wa JF mliobadili ID mnatupa ugumu kutongoza

La Quica please hebu toa ID yangu hapo, sijawahi badili ID since 2014 nilipojiunga JF.
Sitakaa nibadili, sina sababu ya kufanya hivyo. Miaka kadhaa hapo kati nilikuwa nikisoma, bila ya kucomment.

Hii isikufanye uone ni ID mpya.
Kaka yangu Pendaelli Ngalikihinja mkuje kunisaidia huku, nyie mnanijua vizuri je nimebadili?
La Quica unaniharibia kwa my man... muone kwanza bichwa lako ☻
 
Wanafamilia Wangu wote wananifahamu na niliwaweka wazi kabisa labda kama wewe si.
Bora nivobadili nimepumua na michambo ya humu na zile cc hata baada yaile skendo kwakweli! NyieeeeeπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Uzi huu naushukuru!!!!! Kumbe ni wewe, nishahangaika kukutafuta. Mh!!!!!!
 
Wanafamilia Wangu wote wananifahamu na niliwaweka wazi kabisa labda kama wewe si.
Bora nivobadili nimepumua na michambo ya humu na zile cc hata baada yaile skendo kwakweli! NyieeeeeπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Nihadithie sikuwepo 🀭
 
Uwe unawakumbukaga na walalahoi
 
Hao kina Mama Sabrina, Demiss, Miss Natafuta, Yna2, Nifah n.k na wengine wengi wamekuja kwa majina mapya baada ya kufumiliwa humu wanataka new members wawarukia kama visu vipya
πŸ˜‚ Ms cee huu uzi ina maana hujauona?
 
Wewe sio yule mwanamke wa dodoma Ex wa Mshana Jr kweli?
 
Wanafamilia Wangu wote wananifahamu na niliwaweka wazi kabisa labda kama wewe si.
Bora nivobadili nimepumua na michambo ya humu na zile cc hata baada yaile skendo kwakweli! NyieeeeeπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Pole mwanangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…