Wanawake wa JF mliobadili ID mnatupa ugumu kutongoza

Wanawake wa JF mliobadili ID mnatupa ugumu kutongoza

Umeona luv ana shida sana. Sasa demu wao wa Dodoma miye namjulia wapi. Sijui naye alipangwa... hebu aniache akonizidi atanipa ban na sekunde narudi ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Fanya kupotezea asijekuharibu amani yako
 
La Quica please hebu toa ID yangu hapo, sijawahi badili ID since 2014 nilipojiunga JF.
Sitakaa nibadili, sina sababu ya kufanya hivyo. Miaka kadhaa hapo kati nilikuwa nikisoma, bila ya kucomment.

Hii isikufanye uone ni ID mpya.
Kaka yangu Pendaelli Ngalikihinja mkuje kunisaidia huku, nyie mnanijua vizuri je nimebadili?
La Quica unaniharibia kwa my man... muone kwanza bichwa lako โ˜ป
Ni moja kati ya member wa zamani ambao hawajawahi kubadilika na hawana mawaa na mtu.I testify that she has never changed
 
Sina la kuongeza mimi nishamaliza! Vi id vya 2017 2018 2019 2020 2021 2022 vitoto vya juzi vinavyojifanya vijuaji humu๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
Mpaka nikukule wewe!!!
 
Mambo yasiwe mengi.

Yani ID zile za zamani za wadada wakali hatuzioni sasa unakuta kuna ID mpya ya mdada uki click profile unaona ni wa 2013, 2014, 2015 au 16 lakini jina hujawahi kuliona JF.


Hapo sasa unaanza kujiuliza hivi huyu hawezi kuwa member wa zamani ambae niliwahi kumtongoza au kumchakata?

Jamani msibadili majina na mkibadili mtuambie ili tusiingie kwenye mtego.

Mfano hawa akina Palina Bantu Lady Makiwendo n.k
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Naam Mchakati umetuwakilisha vyema
 
Wanafamilia Wangu wote wananifahamu na niliwaweka wazi kabisa labda kama wewe si.
Bora nivobadili nimepumua na michambo ya humu na zile cc hata baada yaile skendo kwakweli! Nyieeeee[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
I'm sure ulipita kipindi kigumu sana.
 
Back
Top Bottom