Wanawake wa JF mmeheshimishwa: Msimuangushe Rais Samia Suluhu, msijiangushe

Kisa samia kapata uraisi mambo yetuprivate yaingiliwe?
samia ni rais wa nchi, mambo yetu ya private yatabaki yale yale, hela tutaendelea kupewa na tutazila ikiwezekana la muhimu tule hela tuliyopewa kwa hiari.

Aisee uraisi wa samia usiingilie haki zetu za kuhudumiwa pale inapotakiwa wanaume kutimiza majukimu yao. Siasa isiingilie haki zetu.

Hela yetu ya kula tunayo coz tunafanya kazi na tunalipwa. ila na hela ya kutuhudumia kutoka upande wa pili hiyo ni lazima, hayo mambo eti kumeheshimiwa ni ya kisiasa.yabaki huko huko siasani.

R.I.P JPM nipo hapa na kanga yangu nasubiri mwili upite niitandike apite.
 
[emoji848][emoji848][emoji848]
Kuna mahali hujanielewa .. Huduma mtapata kama kawa ila
Msile nauli
Msiombe na ya kutolea
Wala msitupande vichwani kama Lilith alivyofanya kwa Adam (sio mchomvu)
 
Kisa samia kapata uraisi mambo yetuprivate yaingiliwe?
samia ni rais wa nchi, mambo yetu ya private yatabaki yale yale, hela tutaendelea kupewa na tutazila ikiwezekana la muhimu tule hela tuliyopewa kwa hiari.

Aisee uraisi wa samia usiingilie haki zetu za kuhudumiwa pale inapotakiwa wanaume kutimiza majukimu yao. Siasa isiingilie haki zetu.

Hela yetu ya kula tunayo coz tunafanya kazi na tunalipwa. ila na hela ya kutuhudumia kutoka upande wa pili hiyo ni lazima, hayo mambo eti kumeheshimiwa ni ya kisiasa.yabaki huko huko siasani.

R.I.P JPM nipo hapa na kanga yangu nasubiri mwili upite niitandike apite.
Money can't buy
Love
Happiness
Peace of mind
 
Niko online hapa nimekuona mama usije ukazimia tu
 
Uko wap nije😎
 
Kaka unamaanisha Askofu Rashid PhD!
Hapana huyu pembeni ya mheshimiwa
Screenshot_20210324-055246.jpg
 
Back
Top Bottom