Wanawake wa JF mmeheshimishwa: Msimuangushe Rais Samia Suluhu, msijiangushe

Wanawake wa JF mmeheshimishwa: Msimuangushe Rais Samia Suluhu, msijiangushe

Hela yetu ya kula tunayo coz tunafanya kazi na tunalipwa. ila na hela ya kutuhudumia kutoka upande wa pili hiyo ni lazima, hayo mambo eti kumeheshimiwa ni ya kisiasa.yabaki huko huko siasani.
[emoji848][emoji848][emoji848]
Kuna mahali hujanielewa .. Huduma mtapata kama kawa ila
Msile nauli
Msiombe na ya kutolea
Wala msitupande vichwani kama Lilith alivyofanya kwa Adam (sio mchomvu)
Mm ukishatuma hela siulizagi ya kutolea😂 ,kuhusu kula nauli, mmh sijawahi ila labda kutokee dharula lakini nitoe taarifa.
.imagine nakula nauli ya "the wings of kilimanjaro"😂😂😂 lazima niombewe albadil nifee
 
Kwa mara ya kwanza tangu kujulikana kwa Taifa la Tanganyika na baadae Tanzania... Hakujapata kutokea rais mwanamke
Kama bahati ya mtende Mungu kawashushia mana.. Nyota ya jaha imewawakia! Ni wakati wenyu sasa.

Kuna wakati niliwahi kuandika hapa kwamba wanawake wa JF ndio wanawake bora zaidi.. Beauty with brains...hawa wa huku ni wale wanaojitambua ukiachana na wapuuzi wachache sana.. Hawa ndio majasiri waongoza njia.. Sio kama wale wa kujianika nyeti zao kule kwengine na kutwa kucha ni umbea majungu na ku fake maisha...

Ni wakati wenyu sasa,msituangushe...msijiangushe.. Onesheni kuwa mnaweza na haikuwa bahati (mbaya) , mkifeli sasa mmefeli milele, mkifaulu sasa mtakumbukwa milele.. Hii nafasi itumieni vema sana..mmetunukiwa buuree na Mola
Kuna hizi tabia waambieni wabinti zenyu waziache sasa
Kudanga
Kula nauli za watu
Kuomba na ya kutolea
Kuifanya ile kitu kama 'public thing'
Kuendekeza umbea na majungu... Ili sasa vibe igeuke kutoka kwenye kusemwa vibaya mpaka kunenewa vema

Msijali kuitwa sura zenyu ngumu, ama zinafanana na baba zenyu..kuweni simple , makeups nyingi huondoa uasili na kupumbaza akili, hupoteza muda na fedha na kujipa ujasiri bandia
Oneni hij picha hapa chini.. Rais mteule akiwa na waziri wa afya ... Hiyo picha ni ya kitambo lakini unaweza kuielewa sasa...

Hongereni tena.. Lakini msivimbe mabichwa na kutupanda juu...msisahau sikio ni sikio tuu...!!kamwe haliwezi kuzidi kichwaView attachment 1732983
Katika picha huyo siyo Waziri wa Afya Dr. Gwajima. Huyo ni binti wa Mwalimu marehemu Rose Nyerere.
 
Wasitupande vichwani, wakijaribu kutupanda vichwani watajuta hakyanani!!!
 
Kwa mara ya kwanza tangu kujulikana kwa Taifa la Tanganyika na baadae Tanzania... Hakujapata kutokea rais mwanamke
Kama bahati ya mtende Mungu kawashushia mana.. Nyota ya jaha imewawakia! Ni wakati wenyu sasa.

Kuna wakati niliwahi kuandika hapa kwamba wanawake wa JF ndio wanawake bora zaidi.. Beauty with brains...hawa wa huku ni wale wanaojitambua ukiachana na wapuuzi wachache sana.. Hawa ndio majasiri waongoza njia.. Sio kama wale wa kujianika nyeti zao kule kwengine na kutwa kucha ni umbea majungu na ku fake maisha...

Ni wakati wenyu sasa,msituangushe...msijiangushe.. Onesheni kuwa mnaweza na haikuwa bahati (mbaya) , mkifeli sasa mmefeli milele, mkifaulu sasa mtakumbukwa milele.. Hii nafasi itumieni vema sana..mmetunukiwa buuree na Mola
Kuna hizi tabia waambieni wabinti zenyu waziache sasa
Kudanga
Kula nauli za watu
Kuomba na ya kutolea
Kuifanya ile kitu kama 'public thing'
Kuendekeza umbea na majungu... Ili sasa vibe igeuke kutoka kwenye kusemwa vibaya mpaka kunenewa vema

Msijali kuitwa sura zenyu ngumu, ama zinafanana na baba zenyu..kuweni simple , makeups nyingi huondoa uasili na kupumbaza akili, hupoteza muda na fedha na kujipa ujasiri bandia
Oneni hij picha hapa chini.. Rais mteule akiwa na waziri wa afya ... Hiyo picha ni ya kitambo lakini unaweza kuielewa sasa...

Hongereni tena.. Lakini msivimbe mabichwa na kutupanda juu...msisahau sikio ni sikio tuu...!!kamwe haliwezi kuzidi kichwaView attachment 1732983
Hivi kwanini huwa mnaandika "Rais" ? na si "Raisi" ?
 
ww ndio umemjua juzi. hapo ni wkt yupo uvccm.
halaf isitoshe ni kuwa hata wanawake waislam si wakati wote wanavaa hijabu.
inategemea na siku na eneo. wengi tu mbona hawavai?
Vyovyote itakavyo kuwa ila haruhusiwi kutonje kichwa wazi.
 
haruhusiwa na dini au serikali? maana kama ni dini hilo ni chaguo la mtu. kama ni serikali labda.
Dini na serikali kipi bora ?

Pili,kwa mtu anaye jitambua na kufata dini kikamilifu, hufata ya serikali endapo hayaendi kinyume na dini, kama yanaenda kinyume na dini ni makosa kufata ya serikali. Yaani hakuna kumtii kiumbe katika kumuasi Allah aliye juu.

Tatu, kama dini ni chaguo la mtu, na mtu akiamua kufata dini basi ndiyo huwa muongozo wake, na ya serikali uhukumiwa na dini.

Nne, kama ni serikali nalo ni lazima au ni kuamua moja ?
 
ya serikali huukumiwa na serikali.
serikali ikisema unyoe vipara ww ukasuka rasta utakuwa umeenda kinyume. na kuna hatua za kinidhamu utachukuliwa.

sipingani na dini yake, yes hakuna kumuogopa mwanadam lakin lazima tutii mamlaka zilizopo.

once again dininni optional,utachukuliwa hatua gani kwenye dini?
mwisho wa siku lazima kila mtu awe free kufanya anachotaka. dini isiwe sababu ya kumfunga mtu asiwe huru. otherwise kutakuwa hakuna haja ya kuwa na dini duniani.
 
Mm ukishatuma hela siulizagi ya kutolea[emoji23] ,kuhusu kula nauli, mmh sijawahi ila labda kutokee dharula lakini nitoe taarifa.
.imagine nakula nauli ya "the wings of kilimanjaro"[emoji23][emoji23][emoji23] lazima niombewe albadil nifee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiswahili fasaha ni kutamka neno bila kukosea mfano habari...habali
Kiswahili sanifu ni maneno yaliyotoholewa toka lugha nyingine ama yaliyosanifiwa mfano tv...luninga

Sent using Jamii Forums mobile app
Safi kabisa.

Maana yake kiswahili sanifu ni kiswahili na kiswahili fasaha ni kiswahili. Katika kaida za kisarufi ya kiswahili hakuna tamko la kiswahili linalokosa irabu mwisho wake. Swali, ni je kwanini tamko "Rais" liwe fasaha wakati limekiuka kaida za kiusuli za sarufi ya Kiswahili ?
 
Back
Top Bottom