Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Niliogopa kuzimia. Simba mwenyewe akitaka kuzimia anatema hirizi yake, watu wako huko wagumu, wanazimia lakini soda walozoshika hazianguki Wala kumwagika
Wako wengi..!!😜😜
Sijakuona Chato, kulikoni...?
Ndo tumemaliza shughuli za mazishi hapa..!