Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Kwa mara ya kwanza tangu kujulikana kwa Taifa la Tanganyika na baadae Tanzania. Hakujapata kutokea rais mwanamke
Kama bahati ya mtende Mungu kawashushia mana. Nyota ya jaha imewawakia! Ni wakati wenyu sasa.
Kuna wakati niliwahi kuandika hapa kwamba wanawake wa JF ndio wanawake bora zaidi.. Beauty with brains...hawa wa huku ni wale wanaojitambua ukiachana na wapuuzi wachache sana.. Hawa ndio majasiri waongoza njia.. Sio kama wale wa kujianika nyeti zao kule kwengine na kutwa kucha ni umbea majungu na ku fake maisha.
Ni wakati wenyu sasa,msituangushe...msijiangushe.. Onesheni kuwa mnaweza na haikuwa bahati (mbaya) , mkifeli sasa mmefeli milele, mkifaulu sasa mtakumbukwa milele.. Hii nafasi itumieni vema sana..mmetunukiwa buuree na Mola
Kuna hizi tabia waambieni wabinti zenyu waziache sasa
Kudanga
Kula nauli za watu
Kuomba na ya kutolea
Kuifanya ile kitu kama 'public thing'
Kuendekeza umbea na majungu... Ili sasa vibe igeuke kutoka kwenye kusemwa vibaya mpaka kunenewa vema
Msijali kuitwa sura zenyu ngumu, ama zinafanana na baba zenyu..kuweni simple , makeups nyingi huondoa uasili na kupumbaza akili, hupoteza muda na fedha na kujipa ujasiri bandia
Oneni hij picha hapa chini.. Rais mteule akiwa na waziri wa afya ... Hiyo picha ni ya kitambo lakini unaweza kuielewa sasa...
Hongereni tena.. Lakini msivimbe mabichwa na kutupanda juu...msisahau sikio ni sikio tuu! kamwe haliwezi kuzidi kichwa