Mayila Baba
Member
- May 21, 2016
- 93
- 60
- Thread starter
-
- #101
Wapo wenye maisha yao... Wengi ni waigizaji... Hata kupanga hajawahi, anaishi kwa shoga yake......Umeona dada ake. Kweli kabisa yaani anatafuta chochote akifanye ndio kazi.
Eti dada kama ndio maisha yao wasiseme?
Unauhakika mkuu?Wapo wenye maisha yao... Wengi ni waigizaji... Hata kupanga hajawahi, anaishi kwa shoga yake......
Aisifiae mvua.....!Unauhakika mkuu?
Mmmh. Basi sawa mkuu. Zidi kupata raha.Aisifiae mvua.....!
Ndio hapo mie nashindwa hata kushangaa!! Eti kama una gari usiseme kisa kuna watu jf wataona unafake maisha!!Umeona dada ake. Kweli kabisa yaani anatafuta chochote akifanye ndio kazi.
Eti dada kama ndio maisha yao wasiseme?
Waache watu watoe stress zao jamani,mtaani kugumu eti ukija huku stress free zone nako ujibane baneeee!!Anataka wote tufanane.... Halafu nashangaaa watu wanashangaa mmbo ya kawaida.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Waache watu watoe stress zao jamani,mtaani kugumu eti ukija huku stress free zone nako ujibane baneeee!!
Khaaah!! Sasa ile mansion ileeeee iliyo juu ya mawe unaninunulia lini nami niwe mama mwenye nyumba?
Hahahaaa. Sio siri wanatafuta presha za bure.Ndio hapo mie nashindwa hata kushangaa!! Eti kama una gari usiseme kisa kuna watu jf wataona unafake maisha!!
Na hata wakifake wewe inakusumbua nini, si ni wao na maisha yao jamani!!!
Ili uje utusumbue humu... Maana sasa utaanza storiWaache watu watoe stress zao jamani,mtaani kugumu eti ukija huku stress free zone nako ujibane baneeee!!
Khaaah!! Sasa ile mansion ileeeee iliyo juu ya mawe unaninunulia lini nami niwe mama mwenye nyumba?
Hahaha ww noumaStori inataka ushauri juu ya mpenzi mlevi ila taandikwa hivi
Jamani naomba ushauri ,tukitokea vacation zanzibar mimi na mpenzi wangu ghafla ameanza tabia ya ulevi yaani jana kanywa chupa 3 za hennessy hata gari akashindwa kuendesha ......
Mkuu mtu akieleza uhalisia unaweza ukamgundua ndo maana tunatumia fake IDs maana wakati mwingine utumbo tunaoandika JF hata wenzi wetu wakijua au watoto au ndugu wakijua hawataaminiStory yoyote inayoletwa na mwanamke humu ndani, utakuta anatoa mazingira ya maisha safi, kama anakula hotelini, beach fulani hivi za kifahari.
Kwanini utoe mfano wa maisha ambao unatenga jamii kubwa ya watanzania hawana. Jikubali tu bana hata kama ni mama ntilie au unauza karanga barabarani sie tutawapenda tu.
Kubali hali yako.
Wewe unajuaje ni waigizaji na hizi ID fake?! Haya tuseme wanaigiza wewe inakupunguzia au inakuongezea nini? Why dont u just mind your own business?Wapo wenye maisha yao... Wengi ni waigizaji... Hata kupanga hajawahi, anaishi kwa shoga yake......
Nakumbuka mstari wako 'watu wanakuja kutoa stress zao za maisha kwa wanawake wa JF na Magu'Waache watu watoe stress zao jamani,mtaani kugumu eti ukija huku stress free zone nako ujibane baneeee!!
Khaaah!! Sasa ile mansion ileeeee iliyo juu ya mawe unaninunulia lini nami niwe mama mwenye nyumba?
Hizo ni roho za kimasikini. Eti mtu akisema ana gari anaonekana anajikweza au anapretend! Hivi TZ ya leo gari pia ni kitu cha ajabu mtu kumiliki?!!Ndio hapo mie nashindwa hata kushangaa!! Eti kama una gari usiseme kisa kuna watu jf wataona unafake maisha!!
Na hata wakifake wewe inakusumbua nini, si ni wao na maisha yao jamani!!!
Inaonesha una watu wako unawajua humu umeamua kuja na ID nyingine kuwasema, sio? Maanake wengine humu tunaona fake IDs tu sasa kujua nani ana-act nani mkweli si rahisi.Wapo wenye maisha yao... Wengi ni waigizaji... Hata kupanga hajawahi, anaishi kwa shoga yake......
Yaani JF ukitaka watu wafurahi andika ndoa yako ina matatizo, maisha yako magumu huna kazi, andika vyuma vimekaza sijala tangu jana! Ukiandika kinyume na hapo kuna watu wanakereka sana na mapovu yatawatoka. Lakini hio ni kawaida ya watu wenye roho za kimasikini, hata akijaliwa uwezo atataka asikie wenzie wanataabika ndio roho kwatu!Sasa kama ndio maisha yao ulitaka waandike uongo ili wakufurahishe!! Pambana na hali yako tu mkuu usitingishe na za wenzio.
Unapokuwa na shida unatamani kusikia wengine pia wako na shida ili upate ahueni. Hivi hata kama kaandika uongo we inakusumbua nini ikiwa haumjui na haikupunguzii wala kukuongezea chochote!!!
Sema wewe mkuu.Hizo ni roho za kimasikini. Eti mtu akisema ana gari anaonekana anajikweza au anapretend! Hivi TZ ya leo gari pia ni kitu cha ajabu mtu kumiliki?!!
Nilichogundua hakuna hata anayemfahamu hivyo anaishi kwa kukariri.Inaonesha una watu wako unawajua humu umeamua kuja na ID nyingine kuwasema, sio? Maanake wengine humu tunaona fake IDs tu sasa kujua nani ana-act nani mkweli si rahisi.
Hahahaaa. Umeongea kweli ujue tena ukianzisha uzi wa shida shida ndio raha yao ili kesho na kesho kutwa wapate pa kusemea.Yaani JF ukitaka watu wafurahi andika ndoa yako ina matatizo, maisha yako magumu huna kazi, andika vyuma vimekaza sijala tangu jana! Ukiandika kinyume na hapo kuna watu wanakereka sana na mapovu yatawatoka. Lakini hio ni kawaida ya watu wenye roho za kimasikini, hata akijaliwa uwezo atataka asikie wenzie wanataabika ndio roho kwatu!