Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ili uje utusumbue humu... Maana sasa utaanza stori
Wasaalam JF juzi kati nilipokuwa kwenye mansion aliyoninunulia kaka huku napata mziki uliyotapakaa kila kona ya masters room zangu nikapata call kwa mpenzi wangu anataka niende maldves tukapumzishe akili msimu huu..
Yaani roho iliniuma maana ni juzi tu tumetoka abu dhabi hata kaharufu ka kiarabu hakajaisha.
Guys naombeni ushauri maana hizi bata zitaniua.
Mbona raha zitaniua!!!