Wanawake wa JF mnanipa raha

Wanawake wa JF mnanipa raha

Ili uje utusumbue humu... Maana sasa utaanza stori

Wasaalam JF juzi kati nilipokuwa kwenye mansion aliyoninunulia kaka huku napata mziki uliyotapakaa kila kona ya masters room zangu nikapata call kwa mpenzi wangu anataka niende maldves tukapumzishe akili msimu huu..

Yaani roho iliniuma maana ni juzi tu tumetoka abu dhabi hata kaharufu ka kiarabu hakajaisha.

Guys naombeni ushauri maana hizi bata zitaniua.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona raha zitaniua!!!
 
Nakumbuka mstari wako 'watu wanakuja kutoa stress zao za maisha kwa wanawake wa JF na Magu'
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani acha tu, wanawake wa jf, Magu na Makonda mbona wanakoma.
 
Hizo ni roho za kimasikini. Eti mtu akisema ana gari anaonekana anajikweza au anapretend! Hivi TZ ya leo gari pia ni kitu cha ajabu mtu kumiliki?!!
Bwana we msisemage mnatukwaza sie tusiokuwa nayo, hebu msemage tu ulipokuwa unatembea... angalau tupate moyo kuwa watembea kwa miguu tupo wengi jamani.
 
Yaani JF ukitaka watu wafurahi andika ndoa yako ina matatizo, maisha yako magumu huna kazi, andika vyuma vimekaza sijala tangu jana! Ukiandika kinyume na hapo kuna watu wanakereka sana na mapovu yatawatoka. Lakini hio ni kawaida ya watu wenye roho za kimasikini, hata akijaliwa uwezo atataka asikie wenzie wanataabika ndio roho kwatu!
Kwakweli.
 
Ngoja niwashe gari niende zangu kula Eater's Point!
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Nakutakia ukabwaji mwema na chakula utachokula, na traffic wakukamate wakuandikie makosa kibaooo.
 
hahahahahahaha sawa nasubiria kwa hamu ujue. Jumatano ya kesho siyo next week🙂🙂

Hahahaaaa. Nikishakuletea ndio tutaelewana kiasi gani huko huko. [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Wote uchwara tu hawana raha yeyote.
Huyo kwenye avatar ni wewe?

391521.jpg
 
mi ndo maana nilikua .simchukii beira .usikute alikua hadanganyi
 
Kifupi maigizo ya JF ni ya wengi, tena pande zote!

Mi humu nilikuwa na marafiki wengi tu, wake kwa waume! Lakini wengi wamenikimbia!

Mwaka juzi kuna uzi ulitaka watu wataje career zao na elimu zao ili kusaidiana!

Mi nikasema nilidisco Form II, na tangu hapo najihusisha na uuzaji magazeti na usiku nakuwa Mlinzi! Pia ktk ubao wangu wa Magazeti nauza soup ya Mapupu, vichwa vya kuku na utumbo! Nashukuru kuna wadada wa hadhi zao ni wateja wangu wazuri wa supu!
 
Back
Top Bottom