Wanawake wa JF mnanipa raha

Wanawake wa JF mnanipa raha

Umeona dada ake. Kweli kabisa yaani anatafuta chochote akifanye ndio kazi.

Eti dada kama ndio maisha yao wasiseme?
Wapo wenye maisha yao... Wengi ni waigizaji... Hata kupanga hajawahi, anaishi kwa shoga yake......
 
Ndio hapo mie nashindwa hata kushangaa!! Eti kama una gari usiseme kisa kuna watu jf wataona unafake maisha!!
Na hata wakifake wewe inakusumbua nini, si ni wao na maisha yao jamani!!!
 
Anataka wote tufanane.... Halafu nashangaaa watu wanashangaa mmbo ya kawaida.
Waache watu watoe stress zao jamani,mtaani kugumu eti ukija huku stress free zone nako ujibane baneeee!!

Khaaah!! Sasa ile mansion ileeeee iliyo juu ya mawe unaninunulia lini nami niwe mama mwenye nyumba?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Waache watu watoe stress zao jamani,mtaani kugumu eti ukija huku stress free zone nako ujibane baneeee!!

Khaaah!! Sasa ile mansion ileeeee iliyo juu ya mawe unaninunulia lini nami niwe mama mwenye nyumba?
Ili uje utusumbue humu... Maana sasa utaanza stori

Wasaalam JF juzi kati nilipokuwa kwenye mansion aliyoninunulia kaka huku napata mziki uliyotapakaa kila kona ya masters room zangu nikapata call kwa mpenzi wangu anataka niende maldves tukapumzishe akili msimu huu..

Yaani roho iliniuma maana ni juzi tu tumetoka abu dhabi hata kaharufu ka kiarabu hakajaisha.

Guys naombeni ushauri maana hizi bata zitaniua.
 
Stori inataka ushauri juu ya mpenzi mlevi ila taandikwa hivi

Jamani naomba ushauri ,tukitokea vacation zanzibar mimi na mpenzi wangu ghafla ameanza tabia ya ulevi yaani jana kanywa chupa 3 za hennessy hata gari akashindwa kuendesha ......
Hahaha ww nouma
 
Story yoyote inayoletwa na mwanamke humu ndani, utakuta anatoa mazingira ya maisha safi, kama anakula hotelini, beach fulani hivi za kifahari.

Kwanini utoe mfano wa maisha ambao unatenga jamii kubwa ya watanzania hawana. Jikubali tu bana hata kama ni mama ntilie au unauza karanga barabarani sie tutawapenda tu.

Kubali hali yako.
Mkuu mtu akieleza uhalisia unaweza ukamgundua ndo maana tunatumia fake IDs maana wakati mwingine utumbo tunaoandika JF hata wenzi wetu wakijua au watoto au ndugu wakijua hawataamini
 
Wapo wenye maisha yao... Wengi ni waigizaji... Hata kupanga hajawahi, anaishi kwa shoga yake......
Wewe unajuaje ni waigizaji na hizi ID fake?! Haya tuseme wanaigiza wewe inakupunguzia au inakuongezea nini? Why dont u just mind your own business?
 
Waache watu watoe stress zao jamani,mtaani kugumu eti ukija huku stress free zone nako ujibane baneeee!!

Khaaah!! Sasa ile mansion ileeeee iliyo juu ya mawe unaninunulia lini nami niwe mama mwenye nyumba?
Nakumbuka mstari wako 'watu wanakuja kutoa stress zao za maisha kwa wanawake wa JF na Magu'
 
Ndio hapo mie nashindwa hata kushangaa!! Eti kama una gari usiseme kisa kuna watu jf wataona unafake maisha!!
Na hata wakifake wewe inakusumbua nini, si ni wao na maisha yao jamani!!!
Hizo ni roho za kimasikini. Eti mtu akisema ana gari anaonekana anajikweza au anapretend! Hivi TZ ya leo gari pia ni kitu cha ajabu mtu kumiliki?!!
 
Wapo wenye maisha yao... Wengi ni waigizaji... Hata kupanga hajawahi, anaishi kwa shoga yake......
Inaonesha una watu wako unawajua humu umeamua kuja na ID nyingine kuwasema, sio? Maanake wengine humu tunaona fake IDs tu sasa kujua nani ana-act nani mkweli si rahisi.
 
Sasa kama ndio maisha yao ulitaka waandike uongo ili wakufurahishe!! Pambana na hali yako tu mkuu usitingishe na za wenzio.

Unapokuwa na shida unatamani kusikia wengine pia wako na shida ili upate ahueni. Hivi hata kama kaandika uongo we inakusumbua nini ikiwa haumjui na haikupunguzii wala kukuongezea chochote!!!
Yaani JF ukitaka watu wafurahi andika ndoa yako ina matatizo, maisha yako magumu huna kazi, andika vyuma vimekaza sijala tangu jana! Ukiandika kinyume na hapo kuna watu wanakereka sana na mapovu yatawatoka. Lakini hio ni kawaida ya watu wenye roho za kimasikini, hata akijaliwa uwezo atataka asikie wenzie wanataabika ndio roho kwatu!
 
Inaonesha una watu wako unawajua humu umeamua kuja na ID nyingine kuwasema, sio? Maanake wengine humu tunaona fake IDs tu sasa kujua nani ana-act nani mkweli si rahisi.
Nilichogundua hakuna hata anayemfahamu hivyo anaishi kwa kukariri.
 
Yaani JF ukitaka watu wafurahi andika ndoa yako ina matatizo, maisha yako magumu huna kazi, andika vyuma vimekaza sijala tangu jana! Ukiandika kinyume na hapo kuna watu wanakereka sana na mapovu yatawatoka. Lakini hio ni kawaida ya watu wenye roho za kimasikini, hata akijaliwa uwezo atataka asikie wenzie wanataabika ndio roho kwatu!
Hahahaaa. Umeongea kweli ujue tena ukianzisha uzi wa shida shida ndio raha yao ili kesho na kesho kutwa wapate pa kusemea.
 
Back
Top Bottom