Wanawake wa JF mnanipa raha

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona raha zitaniua!!!
 
Nakumbuka mstari wako 'watu wanakuja kutoa stress zao za maisha kwa wanawake wa JF na Magu'
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani acha tu, wanawake wa jf, Magu na Makonda mbona wanakoma.
 
Hizo ni roho za kimasikini. Eti mtu akisema ana gari anaonekana anajikweza au anapretend! Hivi TZ ya leo gari pia ni kitu cha ajabu mtu kumiliki?!!
Bwana we msisemage mnatukwaza sie tusiokuwa nayo, hebu msemage tu ulipokuwa unatembea... angalau tupate moyo kuwa watembea kwa miguu tupo wengi jamani.
 
Kwakweli.
 
Ngoja niwashe gari niende zangu kula Eater's Point!
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Nakutakia ukabwaji mwema na chakula utachokula, na traffic wakukamate wakuandikie makosa kibaooo.
 
hahahahahahaha sawa nasubiria kwa hamu ujue. Jumatano ya kesho siyo next week🙂🙂

Hahahaaaa. Nikishakuletea ndio tutaelewana kiasi gani huko huko. [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
mi ndo maana nilikua .simchukii beira .usikute alikua hadanganyi
 
Kila mwanamke JF ni demu maisha safi!....Hakuna broke chura huku!
 
Kifupi maigizo ya JF ni ya wengi, tena pande zote!

Mi humu nilikuwa na marafiki wengi tu, wake kwa waume! Lakini wengi wamenikimbia!

Mwaka juzi kuna uzi ulitaka watu wataje career zao na elimu zao ili kusaidiana!

Mi nikasema nilidisco Form II, na tangu hapo najihusisha na uuzaji magazeti na usiku nakuwa Mlinzi! Pia ktk ubao wangu wa Magazeti nauza soup ya Mapupu, vichwa vya kuku na utumbo! Nashukuru kuna wadada wa hadhi zao ni wateja wangu wazuri wa supu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…