Wanawake wa JF tukutane hapa

Wakunyumba unakua kama hujui watoto wa mjini kwa uongo...anakaa hapo magomeni. Si unakumbuka hata wema alisemaga ile nyumba ya akachube ni yake kanunuliwa na Ck
Nakumbuka wakunyumba nimetoka kumuona ila anaonekana yupo vizuri hongera zake
 
Ahahahahah
Ukikuta wa hivi na kitandani yuko poa wachache sana,,wengi wao hovyo halaf kuringa sasa eheheh kama anamiliki mgodi kumbe anamiliki kibamia kitakatifu dakika moja chali
Akii nimecheka mpaka naskia kukojoa unamisemo mwanamke [emoji23] [emoji23] [emoji23] wachane tuu wamezidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…