Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Bora kajiongeza japo kapata akiki baada ya kuchezea hela na yeyeBora Aunty mwenzao anajenga Kigamboni ingawa anajengewa kwa mkopo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora kajiongeza japo kapata akiki baada ya kuchezea hela na yeyeBora Aunty mwenzao anajenga Kigamboni ingawa anajengewa kwa mkopo
Yaani na hiyo siku aliniudhi ndiyo nikazidi kukasirika nikasema huyu kumbe nae wale wale.Yule Jenifa nae mnafki sema anajitiaga dada mwema
Mmh unapenda sura za kina harmorapa?Wapo wakaka mahb ila sinaga mzuka nao kabisa
Ninongoneze hebuha ha ha utakua unamjua, mashauzi utadhani ana la maana mfyuuu zake
Alidanganya basiAnakaa magomeni kile kipindi kabula zimeanza kuruka alikua anaishi nae hapo magomeni alipopanga
akiangalia ana mtoto lazima ajiongeze siku hazirudi nyumaBora kajiongeza japo kapata akiki baada ya kuchezea hela na yeye
Nakumbuka wakunyumba nimetoka kumuona ila anaonekana yupo vizuri hongera zakeWakunyumba unakua kama hujui watoto wa mjini kwa uongo...anakaa hapo magomeni. Si unakumbuka hata wema alisemaga ile nyumba ya akachube ni yake kanunuliwa na Ck
Huyo anayemuongelea kama niko sahihi ni picha yake halisi.Shombe tena dada kwa ninavyokujua usije ukawa umetumiwa pic za kudownload ogoha wanadamu
HahahaNitakupa ebu nitajie kwanza auntie nicheke weeeeh mana bora awe na bichwa kama embe awe na mahela kuliko awe na huo mbichwa halaf awe furushi
Ukitajiwa usinisahau kabisaJina lake jamani
Siwez kukusahau wa kunyumbaUkitajiwa usinisahau kabisa
Na wewe ni wa kunyumbi hii bombi hii??Huyo bwana wa kupeleka warembo china wakunyumba sio yule anayeanzia na herufi O
Siwez kukusahau wa kunyumbaUkitajiwa usinisahau kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ha ha ha utakua unamjua, mashauzi utadhani ana la maana mfyuuu zake
Anajengewa kwa mkopo kivipiBora Aunty mwenzao anajenga Kigamboni ingawa anajengewa kwa mkopo
MmmhBado sijamjua ujue
Anatuchezea akiliNimecheka sana kwahiyo unatufanya sisi watoto aunt
Akii nimecheka mpaka naskia kukojoa unamisemo mwanamke [emoji23] [emoji23] [emoji23] wachane tuu wamezidiAhahahahah
Ukikuta wa hivi na kitandani yuko poa wachache sana,,wengi wao hovyo halaf kuringa sasa eheheh kama anamiliki mgodi kumbe anamiliki kibamia kitakatifu dakika moja chali