Wanawake wa JF tukutane hapa

Wanawake wa JF tukutane hapa

Kuna kampuni jina nalihifadhi ingawa huwa naiona hata humu inajitangaza sana inauza viwanja kwa mkopo.

Huwa wanaingia mkataba na mteja wanakupigia mahesabu ya nyumba unayotaka then unatoa asilimia 30 ya hiyo hela, halafu asilimia 70 wanamalizia wao. Unakua unaulipa huo mkopo ndani ya miaka 5.

So yeye kaingia nao mkataba wa kujenga, ndiyo wanamjengea.
Hongera zake kwa kujiongeza niliona steve nyerere anampongeza kwa kujenga kigamboni katika bongo movie wanawake yeye ndio mwenye akili anajenga
 
Hongera zake kwa kujiongeza niliona steve nyerere anampongeza kwa kujenga kigamboni katika bongo movie wanawake yeye ndio mwenye akili anajenga
Ameona mbali kwa kweli hongera zake
 
Back
Top Bottom