Wanawake wa JF tukutane hapa

Wanawake wa JF tukutane hapa

Na uzuri hivyo unavyomuona hapo hawezi kumiliki mke, wa aina hiyo wanapenda sana zile mambo za 0713 na aende amdanganye kaka yake au baba ampe hela akupeleke sehem mle bata basi akiona unakuja na makubwa anatafuta visa anakuacha
Naked truth
 
Ahahahahah
Ukikuta wa hivi na kitandani yuko poa wachache sana,,wengi wao hovyo halaf kuringa sasa eheheh kama anamiliki mgodi kumbe anamiliki kibamia kitakatifu dakika moja chali
Aki nmekushindwa tabia
 
Kwakweli ni za mboga, make unaweza mnyapia ujue danga kumbe nalo linadanga linaanza ooh nikope elf kumi nikidraw cheque nakupa nyooooo!!!!
Hiyo buku ten si bora nibet
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom