Wanawake wa JF tukutane hapa

Anajengewa kwa mkopo kivipi
Kuna kampuni jina nalihifadhi ingawa huwa naiona hata humu inajitangaza sana inauza viwanja kwa mkopo.

Huwa wanaingia mkataba na mteja wanakupigia mahesabu ya nyumba unayotaka then unatoa asilimia 30 ya hiyo hela, halafu asilimia 70 wanamalizia wao. Unakua unaulipa huo mkopo ndani ya miaka 5.

So yeye kaingia nao mkataba wa kujenga, ndiyo wanamjengea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…