Naked truthNa uzuri hivyo unavyomuona hapo hawezi kumiliki mke, wa aina hiyo wanapenda sana zile mambo za 0713 na aende amdanganye kaka yake au baba ampe hela akupeleke sehem mle bata basi akiona unakuja na makubwa anatafuta visa anakuacha
Aki nmekushindwa tabiaAhahahahah
Ukikuta wa hivi na kitandani yuko poa wachache sana,,wengi wao hovyo halaf kuringa sasa eheheh kama anamiliki mgodi kumbe anamiliki kibamia kitakatifu dakika moja chali
Bby nakucheck tu unamtafuta maneno Saint IvugaNikaushie basi..siunaona nishawapisha [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haloooooVimeo ndio vipiga kelele
Simfahamu ila hawezi kuwa uncle... Yaani ulipotea kwa muda halafu ukaja na jibu la uncle!!!Khaaaah!! Kwahiyo unamfahamu si ndio?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwakweli ni za mboga, make unaweza mnyapia ujue danga kumbe nalo linadanga linaanza ooh nikope elf kumi nikidraw cheque nakupa nyooooo!!!!
Hiyo buku ten si bora nibet
Msitutenge hivyo jamaniUkiona comments zake utasema "hallelujah"
Ukiona picha zake unasema "Mungu tusaidie" ha ha ha
Hata mi namuonaga wa kawaida eti. Hapo kanogeshwa zaidi na picha,he is Handsome thoWahi mama.. sema mi namuonaga kawaida tu
Halaf wa kunyumba nahisi S baba k wake yupo team forex unaona anavyopost kuleBby nakucheck tu unamtafuta maneno Saint Ivuga
Oooh nilijua unamuongelea yule handsome shombe shombe.Haiwezekani uncle awe na bichwa ka embe
Kweli handsomeHata mi namuonaga wa kawaida eti. Hapo kanogeshwa zaidi na picha,he is Handsome tho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Eve ebu tutajie jamanKwakweli ni za mboga, make unaweza mnyapia ujue danga kumbe nalo linadanga linaanza ooh nikope elf kumi nikidraw cheque nakupa nyooooo!!!!
Hiyo buku ten si bora nibet
Eeeh.. ndo nimeona eti anaongelea forex. Umemuona yule kaka anavyoonekana wakuja eehHalaf wa kunyumba nahisi S baba k wake yupo team forex unaona anavyopost kule
MmhUmejuaje sio uncle wako? Mbona unanitukania mume wangu kisiri siri!!
NdioooIla wewe unamjua kwa id anayotumia
Hahahaaa!! Hapana nilikuwa na wageni kidogo ndio maana nikapotea.Simfahamu ila hawezi kuwa uncle... Yaani ulipotea kwa muda halafu ukaja na jibu la uncle!!!
Anaonekana wa kuja ila sio furushi yupo njema ujue s hawezi kuzaa tu bure bureEeeh.. ndo nimeona eti anaongelea forex. Umemuona yule kaka anavyoonekana wakuja eeh
Ha ha ha mimi nasubiria atajwee wee ila wapiii naona eve anatulipizia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Eve ebu tutajie jaman
Ebu ukuje kule dada unitajie jamaanNdiooo
Ila kuna mtu kama namuhisi ujueHa ha ha mimi nasubiria atajwee wee ila wapiii naona eve anatulipizia