Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,604
- 20,085
Naked truthNa uzuri hivyo unavyomuona hapo hawezi kumiliki mke, wa aina hiyo wanapenda sana zile mambo za 0713 na aende amdanganye kaka yake au baba ampe hela akupeleke sehem mle bata basi akiona unakuja na makubwa anatafuta visa anakuacha