Ni nani huyo hata kwa code basiIla kuna mtu kama namuhisi ujue
Hiyo picha ulopiga hapo ninayo[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Picha yangu ni avatar yangu. Kama unamjua Paul Pogba ni pacha wangu. However nina picha nimepiga hapo hapo alipokaa huyo Dr, hapo ni Slipway ile njia unayopita kwenda kupanda boat za Bongoyo Island im sure its no coincidence umenitaja, una kesi ya kujibu.
Cc EvelynOooh nilijua unamuongelea yule handsome shombe shombe.
Huyo mwenye kichwa kama embe eve atakwambia ni nani[emoji85] [emoji85]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eve comment zako zinanimaliza ujueKwakweli ni za mboga, make unaweza mnyapia ujue danga kumbe nalo linadanga linaanza ooh nikope elf kumi nikidraw cheque nakupa nyooooo!!!!
Hiyo buku ten si bora nibet
Ahahahhh naongea tu hivyo ujue ili eve ataje hata herufi yake ya mwanzoNi nani huyo hata kwa code basi
Unataka niaminiHahahaaa!! Hapana nilikuwa na wageni kidogo ndio maana nikapotea.
Ha ha utapommanya tag ihusikeAhahahhh naongea tu hivyo ujue ili eve ataje hata herufi yake ya mwanzo
Aaah.. S alitokaga na yule kaka wa Kimara rafiki ake Ney wa mitego na akabadili jina.. itakua tu S kampenda maana S sio mwanamke wa hela kiviile.. ye anajua kupenda hela zinafuataAnaonekana wa kuja ila sio furushi yupo njema ujue s hawezi kuzaa tu bure bure
Lazima ihusikr naachaje kukutagHa ha utapommanya tag ihusike
Hahahaaaa[emoji125] [emoji125] [emoji125]Unataka niamini
Shoga angu nae upo kumbeee[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna kampuni jina nalihifadhi ingawa huwa naiona hata humu inajitangaza sana inauza viwanja kwa mkopo.
Huwa wanaingia mkataba na mteja wanakupigia mahesabu ya nyumba unayotaka then unatoa asilimia 30 ya hiyo hela, halafu asilimia 70 wanamalizia wao. Unakua unaulipa huo mkopo ndani ya miaka 5.
So yeye kaingia nao mkataba wa kujenga, ndiyo wanamjengea.
Mmh kwani yule k alikua furushi mbona nilikua najua ana mahela mara prado mara kupost mapesa s mpaka jina akabadili nilikuwa nao bbm kipindi hikoAaah.. S alitokaga na yule kaka wa Kimara rafiki ake Ney wa mitego na akabadili jina.. itakua tu S kampenda maana S sio mwanamke wa hela kiviile.. ye anajua kupenda hela zinafuata
Basi sawaTanga moja mama
Sio kwa kufumwa huku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shoga angu nae upo kumbeee[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Siku hizi kawa muhenga jamaan au kawolewadark angel njoo huku mamaaa
HahaEbu ukuje kule dada unitajie jamaan
Mwenyewe K nilijuana nae enzi za BBM.. hana bwana hizo hela basi tu S alimbabakiaMmh kwani yule k alikua furushi mbona nilikua najua ana mahela mara prado mara kupost mapesa s mpaka jina akabadili nilikuwa nao bbm kipindi hiko
Ahahhh umejuaje ebu njo jamani usinifanyie hivyo kwahiyo unamchora tuHaha
Kama nakuona vile
Halaf usikute tunajuana nitacheka mimi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwenyewe K nilijuana nae enzi za BBM.. hana bwana hizo hela basi tu S alimbabakia