Wanawake wa JF tukutane hapa

Wanawake wa JF tukutane hapa

Picha yangu ni avatar yangu. Kama unamjua Paul Pogba ni pacha wangu. However nina picha nimepiga hapo hapo alipokaa huyo Dr, hapo ni Slipway ile njia unayopita kwenda kupanda boat za Bongoyo Island im sure its no coincidence umenitaja, una kesi ya kujibu.
Hiyo picha ulopiga hapo ninayo[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Anaonekana wa kuja ila sio furushi yupo njema ujue s hawezi kuzaa tu bure bure
Aaah.. S alitokaga na yule kaka wa Kimara rafiki ake Ney wa mitego na akabadili jina.. itakua tu S kampenda maana S sio mwanamke wa hela kiviile.. ye anajua kupenda hela zinafuata
 
Kuna kampuni jina nalihifadhi ingawa huwa naiona hata humu inajitangaza sana inauza viwanja kwa mkopo.

Huwa wanaingia mkataba na mteja wanakupigia mahesabu ya nyumba unayotaka then unatoa asilimia 30 ya hiyo hela, halafu asilimia 70 wanamalizia wao. Unakua unaulipa huo mkopo ndani ya miaka 5.

So yeye kaingia nao mkataba wa kujenga, ndiyo wanamjengea.
Shoga angu nae upo kumbeee[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Aaah.. S alitokaga na yule kaka wa Kimara rafiki ake Ney wa mitego na akabadili jina.. itakua tu S kampenda maana S sio mwanamke wa hela kiviile.. ye anajua kupenda hela zinafuata
Mmh kwani yule k alikua furushi mbona nilikua najua ana mahela mara prado mara kupost mapesa s mpaka jina akabadili nilikuwa nao bbm kipindi hiko
 
Mmh kwani yule k alikua furushi mbona nilikua najua ana mahela mara prado mara kupost mapesa s mpaka jina akabadili nilikuwa nao bbm kipindi hiko
Mwenyewe K nilijuana nae enzi za BBM.. hana bwana hizo hela basi tu S alimbabakia
 
Back
Top Bottom