Wanawake wa JF tukutane hapa

Wanawake wa JF tukutane hapa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wakunyumba ndio huyo huyo hilo jina la kwenye vitabu silijui nalijua linaloanzia na S huyu alijua kunyooshana na M woiiii nikikumbuka ligi yao mjini sihami
Basi wakunyumba ndo hivyo. Ila league ilikua hatari jamani hadi nikala block kwa team M. Yule Decute88 hadi leo kanipa block insta
 
Inawezekana kweli ana ngoma maana S alivyorudi bongo alikondeana na urembo ukaisja sema bado vijana wakawa wanendelea kujilipua tu. M nae alikuaga anajiona ndo wife
Halaf S kama ana kibendi hiviii ila anaficha ila S nae kajua kuvuruga aisee
 
Hilo la ugonjwa mwenyewe nimelisikia mdaa ila M kujipa mpaka ubini wa mwanaume kawaje mpole sasa mwanaume sio ndg yako na huko china kwao kulivyo kwa unafki ni kusemana tu kuanzia donfang kuendelea
Mwanaume anawaambiaga wajiite hivyo jamani... M mpaka duka lake la mwananyamala kaliandika MS.. hata S mwenyewe alivyoenda China alikua anajiita SS
 
Basi wakunyumba ndo hivyo. Ila league ilikua hatari jamani hadi nikala block kwa team M. Yule Decute88 hadi leo kanipa block insta
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi yupo huyo mdada sijamsoma huko mda
 
Mahela yale ya unga nahisi wakienda zaidi ya shopping hakuna hela ya maana ya kupewa zaidi ya dollar 500 au buku
Shopping na kugeuzwa nyuma ndo malipo yao.. dollar buku alikuaga anatoa ila sasa hiv sidhan maana si unakumbuka alikamatwa na issue ya unga alivyokujaga bongo
 
Hilo la ugonjwa mwenyewe nimelisikia mdaa ila M kujipa mpaka ubini wa mwanaume kawaje mpole sasa mwanaume sio ndg yako na huko china kwao kulivyo kwa unafki ni kusemana tu kuanzia donfang kuendelea
Nilijiuliza huyu kubadili ubini kaolewa? Nikajibiwa akiolewa huyu makabichi yote ya kinondoni yataolewa labda sio O huyu anaejulikana mchafuaji
 
Mwanaume anawaambiaga wajiite hivyo jamani... M mpaka duka lake la mwananyamala kaliandika MS.. hata S mwenyewe alivyoenda China alikua anajiita SS
Nakumbuka mama alikuwa anajiita mke wa the bowse [emoji23][emoji23][emoji23] kumbe huwa wanaambiwa na mapic yake ya kumis huku yeye kule O
 
Wadada wa mjini tamaa hawaogopi khaaa ngoma upewe, uzalishwe na usiolewe. Na wanavyojua kusemana sasa
Mwanaume anawaambiaga wajiite hivyo jamani... M mpaka duka lake la mwananyamala kaliandika MS.. hata S mwenyewe alivyoenda China alikua anajiita SS
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi yupo huyo mdada sijamsoma huko mda
Mnavopiga huu umbea, halafu siambulii hata moja natamani kulia haki a nani..... Ehuuu ngoja nikae chini ya feni
 
Kawaida tu ,kama alikutumia ya kudownload?
Sidhani coz sikumuomba wala hatukuwa ktk maongezi ya kiutu uzima ye alidhani mimi ni mtusi kutokana na pic niloiweka hapo, alinambia baba yake mtusi mama ni chotara wa kisomali na mzungu, mkaka ametanuka yaani umbo km la Mr flavour sura sasa lips aloooo macho afu kitu chocolate
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi yupo huyo mdada sijamsoma huko mda
toka nile block sijui hata kama yupogo.. sema nampenda yule dada hajiuzii kuvaa na kuweka nywele kama wengine. Kamjengea mama ake nyumba nzuri sana Sinza maeneo ya mapambano
 
Back
Top Bottom