Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Basi wakunyumba ndo hivyo. Ila league ilikua hatari jamani hadi nikala block kwa team M. Yule Decute88 hadi leo kanipa block insta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wakunyumba ndio huyo huyo hilo jina la kwenye vitabu silijui nalijua linaloanzia na S huyu alijua kunyooshana na M woiiii nikikumbuka ligi yao mjini sihami