Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,604
- 20,085
Kweliiii??Ana balaa huyu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweliiii??Ana balaa huyu
Wala hajui kama niko Jf.. Alikuwa ataka nijiungeKweli nakujua wewe usikute umedata huko na pic za kudownload
Khaaaah!! Kwahiyo unamfahamu si ndio?Hapana
Ukiona comments zake utasema "hallelujah"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwakweli huyo nahisi nampata kabisaaaa, niliiona picha yake mahali nikajisemea tu "Mungu tusaidie".
Huyo Wa auntie sio..Ahahahhh sakayo ukuje hapa aunt yako kiboko
Hongera zake kwa kujiongeza niliona steve nyerere anampongeza kwa kujenga kigamboni katika bongo movie wanawake yeye ndio mwenye akili anajengaKuna kampuni jina nalihifadhi ingawa huwa naiona hata humu inajitangaza sana inauza viwanja kwa mkopo.
Huwa wanaingia mkataba na mteja wanakupigia mahesabu ya nyumba unayotaka then unatoa asilimia 30 ya hiyo hela, halafu asilimia 70 wanamalizia wao. Unakua unaulipa huo mkopo ndani ya miaka 5.
So yeye kaingia nao mkataba wa kujenga, ndiyo wanamjengea.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ahahahhh sakayo ukuje hapa aunt yako kiboko
Ya kweli hayo mke mwenza?Wapoooo...ila vimeo navyo vipo vya kumwaga.
Oooh basi sawa.Sio huyo
Ameona mbali kwa kweli hongera zakeHongera zake kwa kujiongeza niliona steve nyerere anampongeza kwa kujenga kigamboni katika bongo movie wanawake yeye ndio mwenye akili anajenga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Zamu yenu kukaa chini ya feni kama mlivonifanyia mie ha ha ha
Hapana jamaan hapa hazungumziwi anko mbona unatufanyia hivyo lakini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwahiyo auntie unataka kusema uncle wako sio handsome au??
Nikaushie basi..siunaona nishawapisha [emoji125] [emoji125][emoji23] [emoji23] [emoji23] kwanza umefuata nn huku wakt we sio mwanamke
Ila wewe unamjua kwa id anayotumiaWala hajui kama niko Jf.. Alikuwa ataka nijiunge
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiona comments zake utasema "hallelujah"
Ukiona picha zake unasema "Mungu tusaidie" ha ha ha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukiona comments zake utasema "hallelujah"
Ukiona picha zake unasema "Mungu tusaidie" ha ha ha
Kwakweli ni za mboga, make unaweza mnyapia ujue danga kumbe nalo linadanga linaanza ooh nikope elf kumi nikidraw cheque nakupa nyooooo!!!!Hahahaaaa! Za kubadili mboga anazo.
Haiwezekani uncle awe na bichwa ka embeHapana mama ni kweli kabisa.
Umejuaje sio uncle wako? Mbona unanitukania mume wangu kisiri siri!!Hapana jamaan hapa hazungumziwi anko mbona unatufanyia hivyo lakini