Wanawake wa JF tukutane hapa

Wanawake wa JF tukutane hapa

Mmh sijui niseme nn, nakwambia jf kuna kila sample, yaan nilikutana na mkaka kwanza sijui nielezee vipi, upstairs yuko vizuri kinoma mcheshi, mrefu, mweusi zile rangi tunazozipenda, macare flani hivi ahaaa msomi kasoma mpaka mwisho wa reli, mm na kidegree changu cha kolomije najiona nyooo!
My dia wakaka unaowawaza kichwani wapo jf ila jinsi ya kukutana nao ni ngumu sana. Alinitafutaga nimfanyie kitu kutokana na sehemu nilivyo comment, kumjua sasa ilikuwa ni mbinde sana tena sana. Nilivyomjua nikaishia kutoa udenda.

Muda ukifikaga nitakuja kuleta hapa Uzi

Teh teh teh L.......ce baby.
Siku ukileta usisahau kunipm pls, sikuhiz napita mara chache huku
 
Hahaha..! Nyie wadada wapuuzi sana aliyewambia mwanaume anasifiwa sura na hips nani, kidume ni mashine na pesa kwisha habari.
Mi sijasifia sura pitia comments zangu wanaume mahb nawaonaga km ke wenzangu tu
 
uwiii ! kweli wanaume mmpeshana !aisee ! kama unamgonga na,na hyo demu wako jua anakaa na ww kwasababu fulan !sipendi mapenzi ya hvyo km mnagombana jaman !uwiii !pole sana
Mpk ivimbe ndo alivyosema heheheiya
 
Back
Top Bottom