Mmh sijui niseme nn, nakwambia jf kuna kila sample, yaan nilikutana na mkaka kwanza sijui nielezee vipi, upstairs yuko vizuri kinoma mcheshi, mrefu, mweusi zile rangi tunazozipenda, macare flani hivi ahaaa msomi kasoma mpaka mwisho wa reli, mm na kidegree changu cha kolomije najiona nyooo!
My dia wakaka unaowawaza kichwani wapo jf ila jinsi ya kukutana nao ni ngumu sana. Alinitafutaga nimfanyie kitu kutokana na sehemu nilivyo comment, kumjua sasa ilikuwa ni mbinde sana tena sana. Nilivyomjua nikaishia kutoa udenda.
Muda ukifikaga nitakuja kuleta hapa Uzi
Teh teh teh L.......ce baby.