Uchaguzi 2020 Wanawake wa Jiji la Mbeya wamlipia fomu Mbunge wa milele wa jimbo hilo, Joseph Mbilinyi(Sugu) na kumpelekea nyumbani kwake

Kaleta maendeleo gani hapa Mbeya mjini?
Afadhali kaamua kucheza na akina mama, sisi akina baba (na vijana wakiwemo) tumezichoka siasa zake za kiarakati, tunacho taka ni maendeleo.
Maendeleo yanaletwa na Mbunge?.Unajua kwanini kodi inakusanywa, ni kwa kazi gani?.Unajua msimamizi wa hiyo Kodi? Mmekaririshwa ujinga huko lumbumba? Na nyie mjikusanye mkamchukulie fomu yule muigizaji wa kula chips kavu kwa mama ntilie.😂😂😂😂😂
 
😂😂😂😂😂😂😂😂 Msiogope, mwambieni betina asogelee mwanaume(Sugu) then atakuja kuwasimulia kitachompata😂😂😂😂
 
Natamani siku moja mkuu nikujue kwa sura....


Viva Jongwe
 
Huyu Mama inabidi hatulie Nyumbani kama ilivyo jina, kadanganywa atakufa kwa presha aisee
 
Sugu ni mhuni na mvuta bange tu! tena anajisifia kuongea na Bob hebu msikize hapo chini!!sijui kwanini wana Mbeya hawauoni uhuni wake!! na jela ashaenda! sidhani kama atakamilisha kujaza vipengele vyote kwa wakati huku tayari inajulikana ni mropokaji na hatarudi mjengoni kama DJ Makengeza, Halima, Esters, John na wengine na hata wakiingia kwenye upigaji kura bao la mkono la mkurugenzi ni halali yao! hatutaki tena kelele za wapinga juhudi mjengoni!!

 
Miaka 10 inatosha kuongoza jimbo. Apumzike awaachie wengine waendelee alipoishia
 
Ndo madhara ya wanaume kuoa mke mmoja mmoja .
ona sasa mabinti wanazurura tu mitaani.
wanawake ni wengi kuliko wanaume.kila mwanaume akioa angalau wake wawili ama watatu wanawake wasingezurula hovyo namna hii.
Kwa hiyo wote waliopo hapo hawajaolewa umeambiwa?
 
Siasa bwana. Kwa hiyo mmewapa wamama pesa,halafu ionekane kama wao ndo wametoa kumbe Sugu ndo kawapa. Siasa za Bongo bwana.
Kama mwenyekiti wenu alivyowapa wale waliomchangia?
 
5 Julai 2020
Mbeya, Tanzania

CCM NYANDA ZA JUU KUSINI : Walalama na kusema tumechoka kuongozwa na upinzani.


Sasa CCM lazima tuchukue hatua dhidi ya wasaliti walio ndani ya chama maana subira ya kungojea imekuwa ndefu na lazima tufanye hima tusikose kupata kura nyingi za wananchi 2020 hapa mkoani Mbeya.

Source : MbeyaYetuOnlineTV
 
View attachment 1499535

Hili kwangu ni jambo jipya kidogo, kwa wanawake wenye uwezo wa kawaida kumlipia fomu Mbunge mstaafu mwenye marupurupu kibao, si jambo la kawaida hata kidogo.

Ama kwa Hakika kutoa ni moyo.

Kuna nyuzi zingine ukisoma unajikuta unasisimka sisimko Fulani hivi .Mahaba sio Mahaba..yaani mwili unajikuta unagenerate Raha tu...!nawapenda Sana wanawake wa Mbeya...wanajitambua...msije kwenye laana Moro!
 
Mambo mengine hayana faida zaidi ya kujicheleweshea maendeleo tu.
Hell no!
 
Kijiti cha Meru kilicho wafukuzisha kazi maafisa wa Ulinzi na Usalama Meru, Oyeeeeeeeeeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…