Maendeleo yanaletwa na Mbunge?.Unajua kwanini kodi inakusanywa, ni kwa kazi gani?.Unajua msimamizi wa hiyo Kodi? Mmekaririshwa ujinga huko lumbumba? Na nyie mjikusanye mkamchukulie fomu yule muigizaji wa kula chips kavu kwa mama ntilie.😂😂😂😂😂Kaleta maendeleo gani hapa Mbeya mjini?
Afadhali kaamua kucheza na akina mama, sisi akina baba (na vijana wakiwemo) tumezichoka siasa zake za kiarakati, tunacho taka ni maendeleo.